output_B8_JA1_N
11

Tangaza, uza sasa

Karibu Ndugu katika mtandao huu wa duka langu tanzania.
    Sasa unaweza tangaza na kuuza bidhaa zako kwa kutuma tangazo lako bure bila gharama kwa sasa.
1. Kwa matangazo ya kutangaza na kuuza bidhaa tafadhali tuma taarifa zifuatazo
Andika majina yako kamili,
Mahali ulipo,
Bei ya bidhaa
Mawasiliano yako,
Maelezo ya bidhaa
Picha ya bidhaa.

Unaweza tuma kwa email hii ya  dukalangutz@gmail.com , Au Whatsapp : 0718968769.
Ukishatuma tangazo utapokea ujumbe katika namba yako ya simu ama barua pepe yako.

2. Kwa matangazo ambayo hayahusiani na kuuza bidhaa.:
Unachotakiwa ni kuandaa na kutuma tangazo lenye picha size (weight 990×300 height  Au 728 x 90), pamoja na maelezo ya tangazo lako .
Tuma kwa barua pepe hii dukalangutz@gmail.com , Au Whatsapp : 0718968769.

Karibu sana

2 comments :

 
Back to Top
Copyright © 2018. Duka Langu Tanzania / Design By : JUMAA SAIDI