output_B8_JA1_N
11
KITABU CHA HATUA 6 ZA MAFANIKIO.

KITABU CHA HATUA 6 ZA MAFANIKIO.



Ndani ya kitabu hiki utakwenda kujifunza mambo mengi ambayo naamini yatakusaidia sana kusaka mafanikio yako.

Baadhi ya mambo yaliyomo kwenye kitabu hiki ni kama yafuatayo:
1. Mtu anaweza kuleta mafanikio kwako
2. wakati sahihi wa wewe kufanikiwa
3. kwanini watu wengi huwa hawafanikiwi
4.Nguvu ilijificha nyuma ya historia ya maisha yako
5. vitu vya kuepuka wakati wa kusaka mfanikio.
Kitabu hiki kwa sasa kinapatikana kwangu na kipo kwenye mfumo wa nakala tete yaan (softcopy -pdf).
Kupata kitabu hiki wasiliana na mwandishi kwenye namba hii
0658020907
 NI TSH 4000 Tu!!

0 comments :

 
Back to Top
Copyright © 2018. Duka Langu Tanzania / Design By : JUMAA SAIDI