output_B8_JA1_N
11

kuhusu sisi

Karibu kwenye mtandao wetu wa Duka langu Tanzania.

DUKA LANGU TANZANI (DLT).
Ni mtandao ambao unaofanyakazi kwa ajili ya kutatua tatizo ambalo lipo kwa wajasiriamali na wafanya biashara wengi wa kitanzania ambao wapo tayari kujitoa kufanya kazi kwa mikono  yao na kwajasho lao lakini wanakosa uzoefu wa kupata wateja,hivyo basi DLT kwa kuona hilo ndipo imekuj na suluhisho ambalo halijawahi tokea Tanzania,Aidha DTL halikuona wafanyabiashara tu Bali hata wateja wanashindwa kujua wapi watapata  bidhaa bora au bei  ya bidhaa mbalimbali.kwa mantiki hiyo DLT ndio imekuja na majibu ya changamoto ambazo zilikuwa hazijapatiwa ufumbuzi.

                

DLT NI SULUHISHO LA MTEJA NA MFANYABIASHARA KUTANA NA WATEJA NA BIDHAA AMBAZO UNAZIHITAJI KWA URAIHIS ZAIDI
Kumbuka:
Utakoma kuwa mwanachama ama bidhaa zako zitaondolewa kama utavunja makubaliano ya duka hili.
Kwa maelezo zaidi wasialiana nasi
simu:0718 96 8769/0754 503463
Email: dukalangutz@gmail.com/ Mustaphasilima@gmail.com

0 comments :

 
Back to Top
Copyright © 2018. Duka Langu Tanzania / Design By : JUMAA SAIDI